Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huwasaidia wagonjwa wa kisukari

Juisi ya embe inapotumika bila kuwekwa sukari huwa ni nzuri sana kwa watu wenye tatizo la kisukari kwa sababu kusaidia kurekebisha sukari ya mwili kuwa nzuri na kurekebisha mapigo ya moyo kuwa sawa pamoja na kuondoa sumu mwilini.
 
Huimarisha kinga ya mwili

Embe lina wingi wa Vitamin C na Vitamin A pamoja na virutubishio vingine zaidi ya 25 vinavyoimarisha na kuboresha kinga ya mwili, hivyo kuulinda mwili dhidi ya maradhi mabalimbali na kuupa nguvu ya kupambana na magonjwa.
 
Oooh! kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…