Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Sasa mtu kama huyo utamjibu niniHalafu kakuta mleta mada sio mtu wa kujibizana basi kabak anatawala mwenyewe
Sasa mtu kama huyo utamjibu niniHalafu kakuta mleta mada sio mtu wa kujibizana basi kabak anatawala mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23]....hahaa davert ana mwaga flow kama chumvi uvinza "" na mimi na wapaka choo" kwa hzi dis na maliza " ...ndni ya sixteen bars " bonge la pini track" wazushi hawataki" navyo wachoma kama mishikaki"" flow kama kanye " magharibi " west "
jifanye BAUNSA nikufanye" soccer taribo west""
nakimbiza mpka waliosifiwa wakapitiliza kwao" hao " wanajua mimi ndiye shemeji yao ""Dada zao beki zangu hazikabi kwao "ukwasi kama farao" ya musa yanafurahisha yajayo""
hahaaa Usiku mwema wakuu
Daah! Mzee hatar hizi freestyleItamfikia mpaka two face
Dah! Ngoja nami nibuni ya kwangu, yenye sura yangu.[emoji23]
Utafanya maembe yaadimike ohooo [emoji16][emoji16][emoji16]Huongeza hamu ya kufanya mapenzi na nguvu za kiume
Tunda la embe lina wingi wa Vitamin E ambayo ni kichocheo kikubwa cha kukupa hamu ya kufanya mapenzi. Vile vile lina virutubisho muhimu ambavyo huwasaidia hasa wanaume katika kuimarisha misuli ya uume na kuwaongezea hamu ya kujamiiana. Hivyo ili kuboresha afya yako ya kimapenzi jitahidi kutumia tunda hili.
Ulifanikiwa kutoboa mzee, mimi nilikwama kabisa...3:25
Haaaaa
Mmmmh [emoji23][emoji23][emoji23]
Dah! Ngoja nami nibuni ya kwangu, yenye sura yangu.[emoji23]
JokitooTGIF
Mleta mada kafanya busara. Hata angejibu pale ilikuwa ni kazi bure tu...Halafu kakuta mleta mada sio mtu wa kujibizana basi kabak anatawala mwenyewe
Na tusio tumia coffee je?
Salamu ya upako hii nilikuwa naisubiri. Habari njema bila shaka binti mwema wa Mungu...Habari zenu wapendwa wa Mungu?
Buni yenye lile jicho lako. Huko kwenye mabenki watakuwa wanabung'alia jicho we huku unasepa na hela [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Dah! Ngoja nami nibuni ya kwangu, yenye sura yangu.[emoji23]
Comment ya Mayengela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji23][emoji28]