Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Buni yenye lile jicho lako. Huko kwenye mabenki watakuwa wanabung'alia jicho we huku unasepa na hela [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji28]
Nimechekaaa
 
428927608_127000.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23], halafu USIKU ukiingia wanaiona angani.[emoji23]
Yap. Usicheze na Mwafrika aisee.

Unyantuzu kule iliwahi kuanguka helikopita ya jeshi zamani tena mnadani mchana kweupee. Rubani akang'ang'aniamo. Helikopita inawaka moto yeye kashikilia mavyuma ya mle. Kuja kumtoa kwa nguvu mzimaaa hajaungua ila haongei/hajitambui wakamsemesha weee halafu akafariki. Hata wiki haijaisha helikopita ile ikaonekana inapiga mzigo Gamboshi na hata watu ambao siyo wachawi wakawa wanaiona. Usicheze na Mwafrika aisee...
 
Back
Top Bottom