Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tumeshakuwa familia.

Familia yenye furaha,

Pengine sisi ni watu wenye furaha zaidi kuliko JF mambers wengine wote.

Humu tunafuraha sana ushahidi ni hii emoji([emoji23]) huwezi vuka page bila kuikuta.

Uzi wa kupeana likes umebakisha siku kadhaa kufikisha mwaka(uzi wa likes anniversary) nadhani itakuwa ni sherehe kubwa humu ndani, tuandae kamati ya sherehe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lol.

Furaha huzaa upendo na upendo ni Mungu hivyo ukiwa na furaha na upendo ndani yako kuna uwepo wa Mungu.

Sababu Mungu haishi katikati ya chuki! Yeye ni Pendo tena upendo usio na mwisho.

Kusudi la Mungu kutukutanisha hapa pamoja, nimekuwa ni mtu mwenye wingi wa tabasamu mdomoni ninapo pitia post za members humu. Hata kama ninakuwa na mawazo ya hapa na pale yanapotea.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mungu bariki uzi huu, Mungu tubariki wana uzi.
Ni kweli tupu mkuu. Tuzidi kupendana na kuvumiliana [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
852902505_17131.jpg
 
Back
Top Bottom