Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Halafu nilikisoma soma kipindi hicho, sema sikukimaliza chote..Maisha...Rosa Mistika (Na Euphrase Kezilahabi). Ua waridi lenye fumbo !!!
Ni kweli tupu mkuu. Tuzidi kupendana na kuvumiliana [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Akina Yego wana bahati sana kuwa na waandishi mashuhuri kama Kezilahabi, Ruhumbika na wengineo. Sijui hata kama wanajua. Vitabu vya Kezilahabi sasa vimetafsriwa katika lugha nyingi za Kimataifa na pole pole anapata umaarufu anaostahili. Sisi pale Mlimani tukamchoka mpaka akakimbilia zake Botswana kufundisha Fasihi na Falsafa ya Kiafrika. Kama unapenda kufikiri tafuta vinovela (riwaya fupi) vyake viwili Nagona na Mzingile ujaribu kupasha akili moto...Halafu nilikisoma soma kipindi hicho, sema sikukimaliza chote..
Habari njema kabisa...Tumshukuru MunguHakika mkuu.
BTW habari ya kutwa bro?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] muda wa kupeanaMuda wa kumung'unya pipi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nitavitafuta, asante.Akina Yego wana bahati sana kuwa na waandishi mashuhuri kama Kezilahabi, Ruhumbika na wengineo. Sijui hata kama wanajua. Vitabu vya Kezilahabi sasa vimetafsriwa katika lugha nyingi za Kimataifa na pole pole anapata umaarufu anaostahili. Sisi pale Mlimani tukamchoka mpaka akakimbilia zake Botswana kufundisha Fasihi na Falsafa ya Kiafrika. Kama unapenda kufikiri tafuta vinovela (riwaya fupi) vyake viwili Nagona na Mzingile ujaribu kupasha akili moto...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]aiseee
[emoji106][emoji106][emoji106]Heri kumpa jiran kuliko kioze[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji106][emoji106][emoji106]
Kwa mzazi hii ni huzuni sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]