Nashukuru sana.Habari njema kabisa...Tumshukuru Mungu
Ledada [emoji23]
Kwenye swimming pool kila mtu ana muda wake wa kuogelea. Furahia muda wako ukifika kisha wapishe na wenzako waogelee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 765168
Nashukuru sana.Ameennn
Salama mkuu..za kwakoJamani habari za mida
Spying imefikia level hizi? Hatuponi!
Ukiona hivyo jenga ya kwako ila hata hiyo ukizubaa waogeleaji wadoezi watajirushamo tu. Na wadoezi wa aina hii ndo wabaya zaidi kwa sababu wenyewe hawaishii kutemeamo mate bali hata kukatiamo kimba kabisa na kupandikiza visamaki sugu ili kukukomesha.Hizi swimming pool hizi, aah! Sipendi kabisa kuogelea kwenye hizi za public, wengine wanatema mate humo au hata kwenda number one! Acha tu watu tuwe wagumu! [emoji1][emoji1]