Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nigeria ni wataalamu wa fursa sana, serikali yao imeanzisha project ya 20millionnaija yenye lengo la kupeleka watu milion 20 kwenye steemit forum ili wawatengenezee nafasi za kazi Kama full time blogger kwa kuraearn passive income while socializing on social network.

Ukiona fursa ina mnigeria ujue hiyo ni sahihi maana wanigeria hawakaagi pasipo na mkwanja.

Let's be aggressive waswahili.View attachment 765442
Big up kwao
 
29738226_2001103156806076_3656482259550076928_n.jpg
 
Back
Top Bottom