Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Napenda watt hasa wa kike, kwangu mm ndo 1st pirioriti, nawapenda sana, nachojua mm ni kuwa watt wa kiume wanagood care hasa kwa wazazi tofauti na ss wa kiume, tukishatekwa na wadada wa mjini ndo basi tena, ila kwa wenzetu wapo tofauti sana,,
Watt wa kike wanagood care tofauti na ss wa kiume, nlkosea kidogo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…