[emoji23][emoji23]
Atawahi?Umeshaoa Mkuu???
Ngoma Kali sanaYeah, nmeisikiliza sana,moja colabo za kiutu uzima sana za rick ross, legend pia kasimama vyema kwenye korasi
Habari yako Capitalpool
Halichunwiii hata kwa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]natamani kuchunwa
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] bro!!Atawahi?
Waliooa wana msongo wa mawazo comment moja tu frustrations kibao hata ajaribu kuzificha namna gani...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Kasmart aoe thubutuuu...unless kama kamuoa Shiro hapo sawa [emoji23][emoji23][emoji23]
Yan sikui kama ipo siku ntakuja kuchunwa kizembeHalichunwiii hata kwa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sana 2alichokizungumza humo ndani ni ukweli mtupu, lyrics ambazo rozzay kamwe hatakuja kuandika km alivoandika kwenye freemasonNgoma Kali sana
Mi tu naogopa nikizaa toto la kiume halafu lisiwe riziki. Mtoto wa kike hata awe H. Mdee sijali [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Watt wa kike wanagood care tofauti na ss wa kiume, nlkosea kidogo hapo