ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,492
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli bratheeWord!
Mtu anywe chupa nzima ya Jameson halafu asikutafute. Huna chako hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli bratheeWord!
Mtu anywe chupa nzima ya Jameson halafu asikutafute. Huna chako hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haaaaa!Mi tu naogopa nikizaa toto la kiume halafu lisiwe riziki. Mtoto wa kike hata awe Halima Mdee sijali [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana kasmart ila yanaonyesha ni magumu tu[emoji20]umeyajaribu shiro?
Nikweli ndugu tunalisongesha kama kawaida...Kwema naona unasongesha gurudumu
Hahahha watt wa kike wapo vizuri bro,, mm nawapenda sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi pia mawazo yamebadilika tofauti na awali
Haina nomaHahaha Potezea bro
[emoji23]Bado karafuu, vumbi la Kongo, Red Bull, jibapa na makorokocho mengine ndiyo mwanaume wa Dar awe na konfidensi [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado karafuu, vumbi la Kongo, Red Bull, jibapa na makorokocho mengine ndiyo mwanaume wa Dar awe na konfidensi [emoji23][emoji23][emoji23]
Jakitoo ulikimbilia wapi leo ???[emoji91] [emoji91] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Kula like mkuuYeah ndo uzuri huo,, hayo mambo ya kuwa Halima mdee atajua yy, ila respect itabaki palepale tofauti na kuwa lenox lewis, hasara, aibu pia vyote vyako
Watt wa kike wako vizuri aisee, hlf hata ile dhana iliyokuwepo zamani kuwa ukizaa mtt wa kike watu wanaita amezaa barmed nowdays haipo tena ubarmend ni kazi km kazini tu na jamii inaelewa now!!
Thumb Up kwa watt wa kike!!
Sijambo, Consoela. How are you?Habari yako Capitalpool
Mtoto kuwa sio riziki ni tatizo sanaMi tu naogopa nikizaa toto la kiume halafu lisiwe riziki. Mtoto wa kike hata awe Halima Mdee sijali [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Hahah umeyaona kupitia wapi shiro?raha ya ngoma ingia ucheze[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana kasmart ila yanaonyesha ni magumu tu[emoji20]