MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Justine Timberlake-Breeze off the pond
Nakuelewa bro, I like kids too.Napenda watt hasa wa kike, kwangu mm ndo 1st pirioriti, nawapenda sana, nachojua mm ni kuwa watt wa kiume wanagood care hasa kwa wazazi tofauti na ss wa kiume, tukishatekwa na wadada wa mjini ndo basi tena, ila kwa wenzetu wapo tofauti sana,,
Ingekuwa ni uwezo wangu najipangia ingekuwa visichana viwili vimalaika na kavulana kamoja ka SBY Jr. Mengine ni kumwachia Mungu tu hasa katika kizazi hiki.Yeah ndo uzuri huo,, hayo mambo ya kuwa Halima mdee atajua yy, ila respect itabaki palepale tofauti na kuwa lenox lewis, hasara, aibu pia vyote vyako
Watt wa kike wako vizuri aisee, hlf hata ile dhana iliyokuwepo zamani kuwa ukizaa mtt wa kike watu wanaita amezaa barmed nowdays haipo tena ubarmend ni kazi km kazini tu na jamii inaelewa now!!
Thumb Up kwa watt wa kike!!
Ndio uogope shiroKwenye jamii kasmart [emoji4]
Aaaaaha Acha bhana bro mbona sijapata hii habariMi mchezo wangu ngumi. Sasa juzi Lennox Lewis - mmojawapo wa heavyweights bora kabisa of all time naye ivenchuale kakiri kuwa anapumuliwa na eti keshamwambia mkewe na wanae. Hovyo kabisa yaani...
Kweli bro, Mungu pekee ndo anapanga, ila kwangu mm, Wakike watatu tosha kabsaIngekuwa ni uwezo wangu najipangia ingekuwa visichana viwili vimalaika na kavulana kamoja ka SBY Jr. Mengine ni kumwachia Mungu tu hasa katika kizazi hiki.
Utaua jina la ukoo mkuu. Kasmart Jr muhimu !!Kweli bro, Mungu pekee ndo anapanga, ila kwangu mm, Wakike watatu tosha kabsa
Siogopi kasmartNdio uogope shiro
Ni kweli. He just came out. Si ridhiki halafu jamaa mpole yaani utafikiri siyo celebrity humble down to earth kumbe wasela wanamkamatisha ukuta....Aaaaaha Acha bhana bro mbona sijapata hii habari