ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,492
I love this song naomba audio yake[emoji4]
I love this song naomba audio yake[emoji4]
I love this song naomba audio yake[emoji4]
I love this song naomba audio yake[emoji4]
Mi mchezo wangu ngumi. Sasa juzi Lennox Lewis - mmojawapo wa heavyweights bora kabisa of all time naye ivenchuale kakiri kuwa anapumuliwa na eti keshamwambia mkewe na wanae. Hovyo kabisa yaani...Mtoto kuwa sio riziki ni tatizo sana
Kwema kabisaHahah asante mkuu
Kwema lakini
Imagine jitu km lenox lewis au yule jamaa wa prizon break, au yule muimbaji Sam smith, hawa watu hadi kichefuchefu baba zao wanachukuliaje hz hari zao,Mtoto kuwa sio riziki ni tatizo sana
Kuna takriban jamii 3,500 za mbu wanaoneza magonjwa mbalimbali lakini hakuna hata mmoja anayeweza kusambaza virusi vya Ukimwi.
Katika kusherehekea siku ya malaria duniani mwaka huu, leo tujifunze sababu kuu za kisayansi zinazotoa ufahamu kwa nini mbu hawawezi kueneza VVU.
Mfumo wa unyonyaji damu unakinyima nafasi kirusi cha Uimwi kuenezwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine inatokana na maumbile na mirija ya mbu.
Kwenye jamii kasmart [emoji4]Hahah umeyaona kupitia wapi shiro?raha ya ngoma ingia ucheze