Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sio maneno tu kadmart na vitendo pia
Ila havijaniogopesha bado [emoji4] as long as ukiwa na mtu sahihi, ambae yupo tayari kuwa kwenye maisha ya ndoa mbona maisha matamu tu sana yale
Haha hilo ndo neno shiro, ishu kubwa ni ule utiyali wa kuingia kwenye ndoa, na sio kuingia kwenye ndoa kwa kuwa flani na flani wameingia kwenye ndoa hapo lazma ufeli
 
IMG_20180504_223100_508.jpg
 
Back
Top Bottom