Haha hilo ndo neno shiro, ishu kubwa ni ule utiyali wa kuingia kwenye ndoa, na sio kuingia kwenye ndoa kwa kuwa flani na flani wameingia kwenye ndoa hapo lazma ufeliSio maneno tu kadmart na vitendo pia
Ila havijaniogopesha bado [emoji4] as long as ukiwa na mtu sahihi, ambae yupo tayari kuwa kwenye maisha ya ndoa mbona maisha matamu tu sana yale
Nimetoka kapaYou are a riddle, wrapped in a mystery inside an eigma
Hii Maze runner:death of cure 2018 habari nyingine mzee, yale magari ya kiaina km ya mad Max humu pia yapoMaze Runner ndiyo nataka niingalie Weekend hii, Mad Max nimeiona yote bila chenga!
Ngoja niicheki kesho, Halfu Black Panther wameshaiweka YTS kama hukuiangalia!Hii Maze runner:death of cure 2018 habari nyingine mzee, yale magari ya kiaina km ya mad Max humu pia yapo
Hakika kasmart[emoji4]Haha hilo ndo neno shiro, ishu kubwa ni ule utiyali wa kuingia kwenye ndoa, na sio kuingia kwenye ndoa kwa kuwa flani na flani wameingia kwenye ndoa hapo lazma ufeli
Wewe like kwanza, utaelewa mbele kwa mbeleNimetoka kapa