Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu nyoka nimemsoma sehemu aisee! Ni hatari sana kwa hapa tanzania wapo wengi mkoa wa TABORA.

Unaambiwa wenyeji wa mkoa huo hasa sehemu za MASHAMBANI haiwapaswi kumtaja taja kwa jina japo sababu hawakuweka bayana labda pengine ambavyo nyoka huyu ni hatari kubwa.

Unaambiwa ndo nyoka mwenye speed zaidi kuliko wengine pia ana sumu kali zaidi ambayo uking'atwa huchukia nusu saa CHALI CHA MENDE.

huyo nyoka ana kila sifa za kuitwa nyoka hatari asa kwa mazingira ya binadamu, pia ni mkorofi sana kwa mujibu wa watu waliochangia uzi ule unaambiwa mkikutana nae tu bahati mbaya yeye anajua umekuja kumuwinda so it's either akuue au umuue.

Unaambiwa nyoka huyo mpaka kupewa jina hilo BLACK MAMBA hakupewa kwa bahati mbaya unafungua mdomo ulimi na meno mpaka mate yake ni vyeusi tii!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu nyoka tusimtaje taje nishaanza kuogopa na mimi, ndukiiii
 
Kiungo wa kati wa Manchester United Marouane Fellaini na wawakilishi wake wataendelea na mazungumzo na Manchester United kuhusu mkataba mpya. Kandarasi ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 inakamilika mwisho wa msimu huu. . (Sky Sports)
 
West Brom inataka kuwasilisha maombi ya kusajili mmoja ya makocha watatu .Watatu hao ni mkufunzi wa Bristol City, Lee Johnson, kocha wa Brentford Dean Smith na naibu kocha wa Leicester Michael Appleton. (Sky Sports)
 
Mamlaka visiwani Zanzibar zinapambana kuutokomeza ugonjwa wa ''Chikungunya'', ugonjwa unaoenezwa na mbu, virusi vinavyoelezwa kuenenzwa na mbu huyo vinaelezwa kuingia visiwani Zanzibar mwaka huu.
Waziri wa Afya visiwani humo, Hamad Rashid Mohammed amsesema maradhi hayo yalianza kuripotiwa eneo la Stone Town, Serikali ikachukua hatua ya kupulizia dawa katika eneo hilo ili kudhibiti virusi.
 
Kwa mujibu wa Waziri, ugonjwa huu husambazwa iwapo mbu mwenye virusi atamng'ata mtu.
Ingawa Chikungunya si ugonjwa unaoua mara zote, husabaisha maumivu ya viungo kwa muda wa miezi au miaka kadhaa.Wataalam wameeleza.
Chikungunya ni ugonjwa unaoenezwa na mbu aina ya Aedes Egyptiae.Dalili za ugonjwa huu ni kuumwa mafua makali, homa, maumivu ya kichwa, maumivu ya viungo, hasa mikono ,miguu, uchovu wa mwili, kichefuchefu.
 
'Hali ni nzuri ingawa kuna maeneo yameathirika, idadi si kubwa ya kutisha walioathirika ni wastani wa idadi ya watu kati ya sita mpaka saba na hakuna yeyote ambaye amepoteza maisha''.
Waziri Hamad amewataka watu kuchukua tahadhari kuepuka ugonjwa huu:
''Chikungunya ni ugonjwa ambao unatibika cha msingi ni kuzingatia usafi na ajitahidi kuvaa shati ya mikono mirefu kwa sababu mbu hushambulia mchana na si usiku na hupenda kushambulia maeneo yenye mikusanyiko tukifanya hayo tatizo tutalimaliza.''
Bwana Hamad amesema walioathiriwa na ugonjwa huo wako hospitali kwa ajili ya mapumziko na kuongezewa maji.
 
Neno CHIKUNGUNYA ni neno la kimakonde kabila linalopatikana kusini mwa Tanzania, likiwa na maana ya kitu kilichobadilika umbile lake(kujikunja) na kuwa tofauti na awali, wakichukulia dalili ya kuvimba kwa maungio kunakosababishwa na ugonjwa huu.
 
Huyu pia nilimsoma somewhere anaitwa PUFF ARDER kiswahili amezoeleka kama KIFUTU.

Unaambiwa ni nyoka mwenye SUMU kalii, ni mfupi kwa kimo ni mpana kwa umbo kuna sehemu ya mbele ya karibia na kichwa chake imevimba.

Huyu hawakumtolea details nyingi labda sio nyoka hatari zaidi ukim compare BLACK MAMBA
 
Back
Top Bottom