chibalangunamchezo
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,542
- 2,648
Mnapowa wakuu.
Kina nani?Wako wapi hawa
Ana mvuto wa kipekee kabisa
Tena katika penzi zito [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] mai wangu yupo mapenzini
Ukiona Naija ujue utalizwa tuWord on Shambuku, Word on!
Wabongo Mindset tu ndiyo shida,...kuna mdau wangu aliwahi niambia humu kwamba Wabongo siyo Maskini bali Wabongo ni Wajinga sana. Wameukumbatia Umasikini na Ujinga hadi wanachukia utajiri......
Pigo za ledada hizo [emoji16][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] View attachment 766955
Hawa Dudumuzi atawatulizaKali hii
AminsKesheni mkiomba kwamaana hamjui siku wala saa, atakayokuja mwana wa Adam
Kazama etii Mungu amsimamie mai wangu jamani [emoji120] [emoji120]Tena katika penzi zito [emoji23][emoji23][emoji23]