Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1525548138580.jpg
 
Urithi ni "inheritance"

Natafuta legacy kama ile wewe utakayowaachia wanao na wajukuu zako baada ya safari yako kukamilika hapa duniani. Yale mawazo yako. Accomplishments zako ambazo kwazo utakumbukwa ama na watu wakujuao na hata wasiokujua...

Mf. Legacy ya Nyerere kwa Watanzania ni umoja wa kitaifa, uzalendo na uadilifu...
Nimezunguka sana kuitafuta maana ya LEGACY huku na kule mpaka google nimepata ni 'urithi' sijui labda neno 'inheritance' na 'legacy' ni maneno tofauti yenye maana sawa

Ila Niliyoimaanisha kwenye content yangu ni urithi au kitu ambacho kinarithiwa vizazi na vizazi na kinadumishwa (somethings that we worth it)
Screenshot_20180505-224855.jpeg
 
Back
Top Bottom