thread la kibabeeee.....siku moja lazima namimi niwe MP kam profesa jay,hizi likes napata zinanitia moyo,nahisi ndo kura za ubunge kabisa mwaka 2025 jimboni kwang....asante wana jf...kwa kushow loveeeeeee.
15. "Siasa ni hatari kuliko vita. Kwenye vita mtu hufa mara moja tu, lakini kwenye siasa mtu hufa na kufufuka mara nyingi kadri iwezekanavyo" *WinstonChurchil*
Taarifa rasmi kutoka Manchester United zinasema Sir Alex Ferguson amefanyiwa upasuaji wa ubongo leo na zoezi hilo limeenda salama. Hivi sasa yupo kwenye uangalizi maalum ndani ya ICU kwa ajili ya kuendelea na matibabu.