Hahhaah.Hahah!! Hatar hiyo kitu, yani kudrop tu hizo lines chache za jamaa umeshafuzu kua mtu wa music
Real madrid hapa kaka.[emoji23][emoji23] tujuane mapema sasa
Saa 21:45.SAA ngapi huu mkuu""?
okay "" kama kawaida najitangaza mapemaaa ...team barca hapaSaa 21:45.
Sawa wewe ni hasimu Wangu.okay "" kama kawaida najitangaza mapemaaa ...team barca hapa