Team good music mkuu...Hahahaha team kiba fans.
Asante BAK, ila kuna mambo tu yametinga yakikaa sawa ntakuwa active sana.Najua wakati mwingine hutingwa na kazi kupita kiasi, usipotee kiasi hicho hata dakika chache tu kila baada ya siku moja au mbili zinatosha.
Uwe na Jumapili njema Nsamaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Ndugu yangu ata sijielewi ilikuaje mana ndio najikuta tu nipo asubuhi.... itakua nilisinzia
ASANTEH.Nawatakieni ibada njema
Huu mtanange sipendag niukose.El clasico
Hakika mkuu.Kitambo kidogo ila huwa haikati radha yake
[emoji23][emoji23][emoji23]