Nipo sana, habari za kazi na maisha ni njema kbs.Miss you too. Umepotea sana humu, mzima lakini? Habari za masiku na kazi?
Nipo sana, habari za kazi na maisha ni njema kbs.Miss you too. Umepotea sana humu, mzima lakini? Habari za masiku na kazi?
Hv Bob hajawahi kurudi tangu kipindi kile?Miss you too. Umepotea sana humu, mzima lakini? Habari za masiku na kazi?
Nipo sana, habari za kazi na maisha ni njema kbs.
Hv Bob hajawahi kurudi tangu kipindi kile?
Loh, atakuta hadi mkewe Carba alishaolewa aisee
Aisee tangu alivyoaga anaenda Sudan? Mungu asaidie tu awe mzima wa afya huko alipoNafurahi kusikia hivyo Mungu ashukuriwe. Hajaonekana kipindi sasa labda kabanwa na mihangaiko ya maisha.
Aisee tangu alivyoaga anaenda Sudan? Mungu asaidie tu awe mzima wa afya huko alipo
My disease haswaaaMpaka kieleweke...Wikiendi....
View attachment 753298
Aisee tangu alivyoaga anaenda Sudan? Mungu asaidie tu awe mzima wa afya huko alipo
Uwiiiiiiii Subiri utamu wa kiss yako itimize masaa 24 kwanza ndio irudiiiiBeef nakudai kiss yangu
Kesho unrudishie
Ndio, nililala mkuuPyaar ulilala?
[emoji23][emoji23][emoji23]Pyaar wewe utakuwa usingizini muda huu
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Huu ni muda pia wa kumuombea member wetu aliyekatwa na vioo, Mungu amfanyie wepesi apone, Na aungane tena nasi tuijenge JF.
numbisa ..hizi quote simchezo ""1. "Ni afadhali kuwa na jeshi la kondoo linaloongozwa na Simba, kuliko jeshi la simba linaloongozwa na kondoo." *Napoleon_Bonaparte.*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapi omarion5 . leo mapema?
Amen.Huu ni muda pia wa kumuombea member wetu aliyekatwa na vioo, Mungu amfanyie wepesi apone, Na aungane tena nasi tuijenge JF.