Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
[emoji23][emoji23]"Kuachwa na mwanamke aliyekuzidi umri ni kama mtoto kuachishwa kunyonya...
[emoji23][emoji23]"Kuachwa na mwanamke aliyekuzidi umri ni kama mtoto kuachishwa kunyonya...
Nikajua umevaa miwani yako ya kirobotiNakuonaaaaa
Three suitors one husbandI will marry when I want
Hahah!!Hahahha, davet ndo anaweza
Nimeiona hii na Bro nae aione hiiEe haya niamkie sasa
3-bromo 2-dichloro 5-methl hexane[emoji116][emoji116]View attachment 767662
Time will tellumenunua ugomvi ..tutaonyeshana tu "" nani ni hasimu bepari kati yetu
Na leo ndio atathibitisha hilo pale nou campKing [emoji146] Leo
Is from another planet
Nikajua umevaa miwani yako ya kiroboti
[emoji16] [emoji16] [emoji16] anapenda ukubwaHana uhenga wowote ni mdada tu [emoji23]
Hahaha...imebidi nicheke kihututhread la kibabeeee.....siku moja lazima namimi niwe MP kam profesa jay,hizi likes napata zinanitia moyo,nahisi ndo kura za ubunge kabisa mwaka 2025 jimboni kwang....asante wana jf...kwa kushow loveeeeeee.
Cr7 hana mbwembwe za kujiita kingNa leo ndio atathibitisha hilo pale nou camp
Jumapili ya ushindi pale nou camp!Mzima kabisa na jumapili murua