chibalangunamchezo
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,542
- 2,648
Tubuni kwamaana ufalme wa MUNGU umekaribia
Hasira ni Shetani. Hekima ni Mungu. Kila kitu kimo ndani yetu. Hasira imo ndani yetu. Hekima imo ndani yetu. Atomu ni matofali ya ujenzi wa kila kitu ulimwenguni likiwemo jua na miili ya wanadamu. Ndani ya atomu kuna nguvu ya chanya na kuna nguvu ya hasi. Kama miili yetu imetengenezwa na atomu na katika kila atomu kuna nguvu ya chanya na kuna nguvu ya hasi, hivyo basi, tuna uwezo mkubwa wa kufanya mambo mazuri na tuna uwezo mkubwa wa kufanya mambo mabaya. Mtu akikutukana mwambie asante. Akikupiga mwambie asante. Akiendelea kukupiga, pigana. Geuza hasira yako kuwa hekima kwa faida yako na kwa faida ya wengine.
Shauri yako..Hakuna kabisa kwa sasa.

[emoji3] [emoji3] cr7 wetu hahitaji majina ya u king bila palace...natania[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] duh kama messi ni king kama kiba bora cr7 awe wa kawaida tu. U king mmeushusha hadhi jaman[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]
She's a woman mkuu.Karibu sana, Chief.
Kabisa bingwa anatumbuliwa chunusi leo pale nou[emoji125] nawah sitiHakika leo anaumbuliwa mtu pale
Mkuu habari ya jumapili?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]Shauri yako..
Pamoja mkuu nilikua natoa Hi.Naam!
[emoji125][emoji125] twende wote tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] aaah na wewe
Yaan nimefungua tuu jukwaa nimekuta umepiga bonge ya point.[emoji3] [emoji3] cr7 wetu hahitaji majina ya u king bila palace...natania
Rafiki wew upo upande w massi au cr7?Nikweli mkuu Mess hanaga hizo mambo ila sisi tunaomuangalia ndio huwa tunampa sifa anazo stahili
Aaah umeanza vizuri umemaliza vibaya usiseme natania hawa jamaa hawataniii ukizubaaa wanapindua nchi kisingizio messi king[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] cr7 wetu hahitaji majina ya u king bila palace...natania
Halaa madrid[emoji3]Yaan nimefungua tuu jukwaa nimekuta umepiga bonge ya point.
Cr 7 is more than the king