carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Na kwako piaMchana mwema wote
Na kwako piaMchana mwema wote
Pamoja kiongoziMchana mwema wote
Pamoja mkuu.Nitarudi baadaye kuwapa likes
Alifumaniwa na uniq nini?Amefumaniwa hivi karibuni anaogopa kutoka nje
ISIS nadhani umesikia mwenyeweKichwa kichafu nakuamini naomba nilindie my Queen wakati sipo
bahati..unapata likes za bureLike
Ndio mkuu70k si ndio?
Huyo mkuu abapenda kulike zaidi kuliko kupost ndivyo alivyo sema maana ni unique sana humuMwambie aweke nataka ku like kabla mbio hazijaanza
Wow!Mwambie aweke nataka ku like kabla mbio hazijaanza
Nitajaribu kwakweli mana majukumu nayo yananibanaStay sharp
daah...kibiitiiiiiAcha kulia
La kwako kipenziJina lipi hilo tena??
Bado sijapata habari zake vizuri inabidi aje kutujuza ho chi minhAlifumaniwa na uniq nini?
Na mahaba mubashara kabisaWeekend inaanza hivi