Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20180506-WA0006.jpg
 
Hahaaa acha tu.
Halafu utakuta kuna watu hii ishu wanaichukulia serious maana aliyeanza kusema sina mazoea naye hata kidogo[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe wenzao tunacheka na siku zinasogea.

Ngoja nimsake yeye ajilipue kama shunie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapa si mpaka watu wakuzoee wanaona wana wakaushia sku mki jichanganya mnacho.

Hahahaa naye hawez fanya hivo
 
Back
Top Bottom