Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Umeona eeeh!?Ooh!
Hatari kabisa..Umeona eeeh!?
Watu wamefanya yoooteeee sasa wamekimbilia makanisani baada ya kuona mvua zimesogea sogea. Kazi kweli kweli...
Hii siyo Kenya kweli?Hizo kondomu watazifanyia kazi gani huko waliko wamefurika???
Avatar yako imenichanganya. Nilifikiri ni yale mambo ya akina AMUN RA ...One step at a time
This is Liverpool (in Mzee wa Liver's voice)Chel 1 Liv 0