Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu mrembo tabasamu lake na macho yake Mhhh!

30087527_604745976526953_4789896490849927168_n.jpg
 
Ugonjwa wa Saratani ya kibofu (Prostate Cancer) unabaki kuwa kitendawili kwani Waafrika na kwa walio wengi. Kutokana na kutokuwa na uwezo, watu wengi wanaishia kuugua kimyakimya.
Kwa kawaida, ugonjwa huu unapokuwa umefikia kiwango cha juu huonyesha kuwepo kwa uvimbe hatari katiak tezi zilizo chini ya kibofu cha mwanaume kwa kiingereza prostate glands. Kutokana na uvimbe huo, tezi huongezeka ukubwa na kuubana mrija wa mkojo (urethra), hivyo husababisha matatizo katika utoaji wa haja ndogo.
 
Saratani ya kibofu ni nini?
Chembechembe za mwili huzaliwa na kufa kila siku pia, chembechembe zinazounda tezi za prostate hufa na nyingine kuundwa kila mara kwa ajili ya kuchukua ya nafasi ya zilizokufa. Kama hakuna tatizo lolote basi kitendo hiki hufanyika mara kwa mara.
 
Kama chembechembe zilizozaliwa zinakuwa nyingi kuliko zilizokufa basi hutokea tatizo. Hali inakuwa mbaya zaidi pale chembechembe zinazozaliwa zinapokuwa haziko sawa na zile za awali, hali ambayo hujulikana kama Saratani ya chembehai. Kwa hiyo Saratani ya kibofu ni saratani inayoathiri tezi za prostate.
 
Asili ya saratani ya kibofu
Chanzo chake ni uhusiano mkubwa wa ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi pamoja na kuongezeka kw homoni za uzazi ya testosterone.
Ugonjwa huu huwakumba zaidi wanaume wenye umri zaidi ya miaka 75. Ni mara chache sana wanaume chini ya miaka 40.
 
Hivi karibuni watafiti wamebaini kuwa wakulima, wafanyakazi wa viwanda vya magurudumu,wapakaji rangi, pamoja na wanaume wanaofanya kazi katika mazingira yenye kemikali aina ya Cadmium ambayo ni aina ya metali
 
Hivi karibuni watafiti wamebaini kuwa wakulima, wafanyakazi wa viwanda vya magurudumu,wapakaji rangi, pamoja na wanaume wanaofanya kazi katika mazingira yenye kemikali aina ya Cadmium ambayo ni aina ya metali
 
Back
Top Bottom