Rafiki tumetupia...[emoji3]Piga haoooo
Tumebalance...mambo ni motoBelieves Me hawatuwezi.
Wewe si tulikuwa wote team moja?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kwa nini Omarion?
Balaa sana[emoji3]The GOAT
Hahahahaaaa
Cr 7
HahahahaBalaa sana[emoji3]
Nzuri sanaa si wajua Jumapili ni nzuri siku zote[emoji4] [emoji4] ....Aisee kesho jumatatu [emoji20] [emoji20]Niko poa kabisa namshukuru Mungu, vipi za jioni? Weekend ndiyo inayeya.
[emoji23][emoji23][emoji23], kufungwa kufungwa tu,Wametufunga kwa kubahatisba sana
Ila poa tuu