Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mapesheni mawili, chungwa moja na vipande viwili vya tikiti maji vikitengenezwa juisi kwa pamoja kwa kutumia blender kufanya glasi moja ya juisi na kunywewa asubuhi kabla ya kula chakula chochote ni kinywaji murua kwa afya (good health tonic)
 
Ulaji wa matunda mawili au matatu ya pesheni pamoja na nyama na mbegu zake za ndani kuupa mwili nyuzi lishe (fibre), calcium na viinilishe muhimu kwa kusaidia kuondokana na tatizo la kutopata choo (Constipation).
 
Chai iliyotengenezwa kwa kuchemsha maji yaliyotiwa maua ya mti wa mpasheni hutibu magonjwa ya pumu (asthma), kikohozi cha mfululizo (whooping cough) na matatizo ya mfumo wa hewa (bronchitis). kunywa mara moja hadi tatu kwa siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…