Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

171a1206-3edd-4c7c-b008-d70131182e72.jpg
 
Tunda la nanasi lina vitamin C, madini ya chuma na aina zingine za madini. Ni tunda zuri kwa kutibu matatizo ya kukosa au kutokupata choo vizuri (constipation) na tatizo la uyeyushaji wa chakula mwilini (poor digestion). Tunda hili husaidia katika uyeyushaji wa vyakula vya proteins katika miili yetu. Yaani kama unakula chakula chenye protein ni vema ukala na tunda hili wakati wa mlo wako
 
Juisi ya nanasi ambali halijaiva sio nzuri kwa mwanamke mwenye ujauzito kwani huweza kusababisha mimba kutoka (it causes uterine contractions). Kwa kuwa tunda hili lina vitamin C ni tunda zuri kwa ajili ya kusaidia mwili kujenga kinga yake.

Unaweza kutumia nanasi kama tiba ya magonjwa mbalimbali kama ifuatavyo:
 
Back
Top Bottom