Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
IMG-20180506-WA0001.jpg
 
Juisi ya nanasi ambali halijaiva sio nzuri kwa mwanamke mwenye ujauzito kwani huweza kusababisha mimba kutoka (it causes uterine contractions). Kwa kuwa tunda hili lina vitamin C ni tunda zuri kwa ajili ya kusaidia mwili kujenga kinga yake.

Unaweza kutumia nanasi kama tiba ya magonjwa mbalimbali kama ifuatavyo:
Kwahiyo kama "mate" yamepenya sehemu sio sahihi nikumnywesha juisi ya nanasi,kwisha habari yake!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hakuna tena cha "beibii najisikia hamuuuu, sio hiyo bhanaa...unaniudhiii"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiiiiii..... ha wa yuuu [emoji137] [emoji137] [emoji137]
 
Sambamba na hayo, watalaam wa afya hueleza kuwa juisi ya zabibu (divai) husaidia tumbo na utumbo kufanya kazi vizuri na kuzuia ukavu wa haja kubwa , lakini pia divai huimarisha afya ya mishipa ya damu katika mfumo wa kumeng;enya, kusaga na kusharabu chakula na viini lishe.
 
Back
Top Bottom