Hahahahah mlinda mlango katoka,Daaah game imekuwa mbaya
Sina kakakee... Muda bado[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji13]
Kwetu ndo kwanzaaa pambazuko ila barca wamepanic sana hadi messi analisha watu mitamaMechi imekuwa mbaya sana
Hasa ramos red kad zinampenda sanaEli classico huwa haishi bila Red Card hasa kwa madrid leo upepo umebadilika
Mechi mchicha tenaEli classico huwa haishi bila Red Card hasa kwa madrid leo upepo umebadilika
Amri ya kwanzaMimi ni Bwana MUNGU wako, nilie kutoa katika nchi ya misri usiwe na miungu mingine ila mimi.
Mfn.Mtu anajitoa kindaki ndaki kumkaba mtu kama ronaldo huyo ni red tu itamuhusu.Eli classico huwa haishi bila Red Card hasa kwa madrid leo upepo umebadilika
Kwahiyo kama "mate" yamepenya sehemu sio sahihi nikumnywesha juisi ya nanasi,kwisha habari yake!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Juisi ya nanasi ambali halijaiva sio nzuri kwa mwanamke mwenye ujauzito kwani huweza kusababisha mimba kutoka (it causes uterine contractions). Kwa kuwa tunda hili lina vitamin C ni tunda zuri kwa ajili ya kusaidia mwili kujenga kinga yake.
Unaweza kutumia nanasi kama tiba ya magonjwa mbalimbali kama ifuatavyo: