Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kutibu tatizo la mawe kwenye kibofu cha mkojo (kidney stones) kunywa juisi ya nanasi kila siku asubuhi kabla hujala chochote kwa muda wa mwezi mmoja. Watu wengine wamekuwa wakikimbilia hospitalini kufanyiwa operesheni. Hii sio njia nzuri ya kukimbilia kwa sababu operesheni huondoa kiungo cha mwili ambacho kina kazi yake muhimu katika mwili wa binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…