Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan uncle andjul na maana zako duh
 
Aidha, inaeleza kwamba zabibu pia husaidia damu kuwa nyepesi na kuzuia isigande ndani ya mishipa ya damu, hivyo kutokana na sababu hii hupunguza hatari ya kukumbwa na kiharusi (stroke). Kunywa juisi ya zabibu nyekundu (red grapes) kuzuia damu kuganda ili kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo.
 

[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…