Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

446611248_95397.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we mzee weww
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kakaake wako naona anazunguka tu. Nakumbuka carba aliwahi kuliongelea neno "nirenge" na bado mtu haelewi.
Endelea kufunguka kwa namna nyingine mama yangu, mimi nilisha kuelewa tangu zamani ila uzee unaniharibia.
 
Zabibu pia husaidia kuimarisha afya ya figo na kuifanya kuwa na uwezo zaidi katika katika kuondosha sumu ndani ya damu .
Mbali na faida hizo, pia zabibu kutokana na kuwa na sukari ya asili aina ya fructose na glucose hivyo huweza kumsaidia mtu katika kupunguza uchovu wa mwili na kutibu maumivu yasiyokuwa na sababu za moja kwa moja.
 
Juisi ya nanasi ambali halijaiva sio nzuri kwa mwanamke mwenye ujauzito kwani huweza kusababisha mimba kutoka (it causes uterine contractions). Kwa kuwa tunda hili lina vitamin C ni tunda zuri kwa ajili ya kusaidia mwili kujenga kinga yake.

Unaweza kutumia nanasi kama tiba ya magonjwa mbalimbali kama ifuatavyo:

Sawa boss buyenze kitooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom