Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Punguzeni umbeaKibuti kimenihusu. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]andaeitinAcha kuniingiza kingi Mkuu! Nimestuka, naweza kushushwa mnyama hivi hivi hapa! [emoji23][emoji23][emoji23]
Za nchiZa mpira?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Punguzeni umbea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kakaake wako naona anazunguka tu. Nakumbuka carba aliwahi kuliongelea neno "nirenge" na bado mtu haelewi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we mzee weww
Aisee kwema kabisa mambo niajeSafi mkuu, kwema?
Thank you[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Wale wagombea jimbo la koromije liko wazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jakitoo ya buyenze
Nipo majukumu kwa sana lakini Leo nataka kukesha nanyiSijambo mkuu, unapoteaa
Juisi ya nanasi ambali halijaiva sio nzuri kwa mwanamke mwenye ujauzito kwani huweza kusababisha mimba kutoka (it causes uterine contractions). Kwa kuwa tunda hili lina vitamin C ni tunda zuri kwa ajili ya kusaidia mwili kujenga kinga yake.
Unaweza kutumia nanasi kama tiba ya magonjwa mbalimbali kama ifuatavyo:
Sawa boss buyenze kitooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zabibu pia husaidia kuimarisha afya ya figo na kuifanya kuwa na uwezo zaidi katika katika kuondosha sumu ndani ya damu .
Mbali na faida hizo, pia zabibu kutokana na kuwa na sukari ya asili aina ya fructose na glucose hivyo huweza kumsaidia mtu katika kupunguza uchovu wa mwili na kutibu maumivu yasiyokuwa na sababu za moja kwa moja.
La prugaWhat a goallll
Hahahahaha sawa