carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hahaa shetani anasingiziwa sanaMaana majaribu haya.
Huku kwetu utasikia yani huyu shetani huyu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wazima karibuWazima humu ndani?
UshapataaaNipe like
FerariLamborghini.
biriani
Hamna mimi na wewe tu kipenzi wengine labda mchepuko. [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sina maana hiyoalafu Mark acha ugomvi et huyu ana makoloni mengi hapa subiri yajitokeze tu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yani nyie ndo nawaogopa hatari mkianza kufungulia mbwa nyie[emoji23] [emoji23]Angalia penye unafuu wangu usijeteseka.Waseminari tuna 'afadhali'.
Waoooh! GeJo ulipotelea wapi aiseeWazima humu ndani?
HahahahahWatu wana nyege na likes, naona uzi unakimbia hatari!
Waoooh! GeJo ulipotelea wapi aiseeWazima humu ndani?
Na ambao hatuna familiaPumzikeni na familia
Hawafikagi mbali hao nimesoma na wawili chuo huyo mmoja aiseeh acha kabisaHahahaha.
Maana kunajamaa yangu mseminary nilikutana nae kitambo hicho advanc akawa na hizo ndoto had tunamaliza.
Halipofika chuo aiseeh mwanzoni tu akakamatia bebe moja hatari upriest ukawa umeisha tena
Waseminari hatari sana aiseehAngalia penye unafuu wangu usijeteseka.Waseminari tuna 'afadhali'.
[emoji23] [emoji23] tutajua tuHamna mimi na wewe tu kipenzi wengine labda mchepuko. [emoji23] [emoji23]
Nazidi kukupenda tu
Huyo alipitiwa na pepo mchafu.Huyo pepo kwangu ashindwe kwa jina la aliye juu!.Hahahaha.
Maana kunajamaa yangu mseminary nilikutana nae kitambo hicho advanc akawa na hizo ndoto had tunamaliza.
Halipofika chuo aiseeh mwanzoni tu akakamatia bebe moja hatari upriest ukawa umeisha tena
Tujumuike kwenye likesNa ambao hatuna familia