cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Wivu.com
Jamani acheni fallacy.Mtu mmoja au wawili wasijefanya Mark wa watu naye akawa walewale.Kumbe na wewe umeona hawa jamaa ni balaa
Hahahahaha ilikuwa hatariHuyo alipitiwa na pepo mchafu.Huyo pepo kwangu ashindwe kwa jina la aliye juu!.
Left eye TLC
Kula likes kabla hujajitengeneza vizuriNimezimiss likes
Haswaa naanza na upendo wangu kwakoTujumuike kwenye likes
Beautiful ladyYaani acha tu
Shetani tu sijui anakaaga kona ganiNdoto zao zinaishia karibu au ndio turudi kule kule "shetani huyu yani huyu shetani"
Kabisa tena ni washikaji zangu wengi sanaKumbe na wewe umeona hawa jamaa ni balaa
Ndiyo mkuu... Siwez acha familia mashamba na mifugo...[HASHTAG]#sihamikibiti[/HASHTAG]Mkuu bado upo Kibiti tuu
Heheheheeee....njooo uchaggani
Me nakuombea tu shetani akae mbali na weweJamani acheni fallacy.Mtu mmoja au wawili wasijefanya Mark wa watu naye akawa walewale.
Pokea zako mkuu.Mkuu na mimi niambulie like bas... Huku kwetu Kibiti like adimu