Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Zabibu pia husaidia kuimarisha afya ya figo na kuifanya kuwa na uwezo zaidi katika katika kuondosha sumu ndani ya damu .
Mbali na faida hizo, pia zabibu kutokana na kuwa na sukari ya asili aina ya fructose na glucose hivyo huweza kumsaidia mtu katika kupunguza uchovu wa mwili na kutibu maumivu yasiyokuwa na sababu za moja kwa moja.
 
Sambamba na hayo, watalaam wa afya hueleza kuwa juisi ya zabibu (divai) husaidia tumbo na utumbo kufanya kazi vizuri na kuzuia ukavu wa haja kubwa , lakini pia divai huimarisha afya ya mishipa ya damu katika mfumo wa kumeng;enya, kusaga na kusharabu chakula na viini lishe.
 
Wagombea wengi sana. Utashangaa...

Ila kujitangaza huku nako mhhh [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
Na wewe ndo umeanza[emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji53] [emoji53]
Hongera kwa kuwa na wagombea wengi[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom