[emoji23][emoji23][emoji23]Awabwage jangwani waogelee
Hata najua my dear embu check basi alafu uniambie lipiLipi?
Jana hujaniambia ni swali gani uliuliza halikujibiwaHahahaha!
Mzima lakini?
Niaje binti mpole kwini afrikaSijambo marahabaaa in ledada voice
Vizuri.Niko Poa rafiki
Embu nisimulie ulichokiota usiku wa leo..