Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20180506-175551.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti nchi ya ahadi
[emoji16] [emoji16] [emoji16] hata sijui kwann kaiita hvo Norwey,
 
Mademu ambao hawajibu meseji za wanaume inbox hata kwenye mapenzi sio watamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
VITAMU VYOTE HAVILIWI, vinamung'unywa...
cc.Myoya le genius
 
Kupunguza Rehamu (Cholestral levels) na Kiharusi (Strokes), Kukarabati Mishipa ya Damu ya Vein na Kusaidia Damu Kutembea Mwilini, na Kupunguza Unene: Kula nusu kipande cha tunda la balungi wakati wa kifungua kinywa (breakfast) na dakika 30-60 baada ya chakula cha mchana (lunch) kunywa juisi ya balungi iliyoongezwa maji kiasi cha glasi moja.
 
Vidonda vya Koo (Sore throat), Harufu Mbaya ya Kinywa na Mafua (Flu): Kila baada ya saa moja fyonza robo kipande cha tunda la balungi ili kupata vitamins na asidi zilizomo kwenye tunda hilo na weka kipande hicho kwenye ulimi ili kupunguza wingi wa bakteria walioko kinywani na pia kupunguza harufu mbaya ya mdomoni.
 
Back
Top Bottom