Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

428933375_131312.jpg
 
Inashauriwa kula parachichi moja au mawili kila siku ili kupunguza kiwango cha cholesterol mwilini na pia kusaidia kuliweka ini katika hali njema ya kiafya. Aidha, kabla ya kuchukua hatua za kupunguza cholesterol mwilini ni vema kwanza ukapimwa hospitali ili kujua kama kiwango cha cholesterol mwilini mwako kiko juu au la.
Juice yake vipi nikitumia glasi Mbili kila Siku inakuwaje
 
Tunda la Kiwi (Chinese gooseberry/Yangtao) huzalishwa zaidi katika nchi ya New Zealand na lilianza kulimwa katika nchi hiyo miaka ya 1906. Tunda hilo liianza kuitwa 'Kiwi' na wamarekani katika miaka ya 1960s. Zipo aina 400 za tunda hilo nchini China ambako ndiko asili yake.
Kiwi hii ya Viatu ama
 
Back
Top Bottom