mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Huu wimbo huu unatia nyongo watu wengi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Waacheni waandamanee eeh!
CCM mbereeeeeee kwa mbereeeeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] (katika sauti ya yule Bwana YABISI)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu wimbo huu unatia nyongo watu wengi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama mke anajielewa haina tatizo...
Hahahahaha mpira ndio utamu wake[emoji16] [emoji16] [emoji16] Barcelona bhna, sasa hv mmeanza kumsema refa tumemnunua
We Ledada wewe sema bhasi TuHeal to learn
Mbaya sana hasa wa likes[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uraibu
[emoji23][emoji23][emoji23], eti KANYAGA TWENDEHapa Kazi Tu
Juice yake vipi nikitumia glasi Mbili kila Siku inakuwajeInashauriwa kula parachichi moja au mawili kila siku ili kupunguza kiwango cha cholesterol mwilini na pia kusaidia kuliweka ini katika hali njema ya kiafya. Aidha, kabla ya kuchukua hatua za kupunguza cholesterol mwilini ni vema kwanza ukapimwa hospitali ili kujua kama kiwango cha cholesterol mwilini mwako kiko juu au la.
Number never lieJPM: Serikali ina fedha za kuendesha nchi miezi 6.
Waziri Lukuvi: Tuna fedha nyingi, tunaweza kujitegemea.
Zitto: Serikali haina fedha, imekopa zaidi ya kiasi kilichonidhinishwa na Bunge.
JPM : Nikisema nitaongeza mishahara pesa nitazitoa wapi?
NANI ANAPINDISHA TAKWIMU?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28], lakini naona dada kama haijamuingia akilini vizuri,, namuona ana UELEWA kabisa.hahaa..Mjomba ni master wa zile kazi...maana kamfanya dada wawatu atoe macho kama kapigiwa Simu ya ushindi wa USD 100.000 na balozi wa 3mzuka
Mzee wa liverMbaya sana hasa wa likes[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usiweke likes kwenye post za mtu ambae huoni likes zake kwanye post zako kasoro mimi [emoji23]IKIPOSTI WEKA 'LIKES POSTI ZA WENZAKO...
Kiwi hii ya Viatu amaTunda la Kiwi (Chinese gooseberry/Yangtao) huzalishwa zaidi katika nchi ya New Zealand na lilianza kulimwa katika nchi hiyo miaka ya 1906. Tunda hilo liianza kuitwa 'Kiwi' na wamarekani katika miaka ya 1960s. Zipo aina 400 za tunda hilo nchini China ambako ndiko asili yake.