Oooh! Kumbe bado wanalisongesha kimtindoKimya sana siku hizi ila bado wanapiga mahotelini...
Ngoma drooEl clasico usipoongea sasa utakua na wazimu mana kama kuongea tunaongea wote humu...
Wewe si mtoto wa JUZI tuDooh!! Basi mimi niliwakutia kwenye Msongo....
Ile nyimbo yao inaitwa Tuma naipenda sana
Yeah ni nzuri, au pozi la Kingwendu ndo lilifanya uipende?[emoji23][emoji23]Dooh!! Basi mimi niliwakutia kwenye Msongo....
Ile nyimbo yao inaitwa Tuma naipenda sana
Ndio wanapiga show za kibabeOooh! Kumbe bado wanalisongesha kimtindo
Usione nimekonda ewe Tuma hakuna lingine mama ila ni wewe Tuma[emoji445][emoji445][emoji444][emoji443][emoji444]Dooh!! Basi mimi niliwakutia kwenye Msongo....
Ile nyimbo yao inaitwa Tuma naipenda sana
Ndio mkuu watu walitoshana nguvu japo watu 11 kwa watu 10Ngoma droo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikweli kidogoWewe si mtoto wa JUZI tu
Ooooh!Ndio wanapiga show za kibabe
Ulimuona yule nesi wako? Nikifika nyumbani kwake pia nitakutonya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nimefika huko ila acha niishie kusema hivyo tu [emoji23]