bangaizaji
Member
- May 1, 2018
- 13
- 96
uzi huu chungeni una mambo
Chrisy Chris (Official Page) (@curvycurlychrisy) • Instagram photos and videos[emoji119][emoji119] Mungu asifiwe kwa huu uumbaji....
Formerly iliitwa NUTA jazz band, ikabadilishwa ikawa JUWATA jazz band, OTTU jazz band ndo ikaitwa MSONDO NGOMA..Ilikuaje OTTU alafu tena Msondo au walikua na majina mawili?
Mkuu nimefika huko ila acha niishie kusema hivyo tu [emoji23]Mkuu, unanitumia ujumbe wakati mi mwenyeji? Ngoja sasa nikupeleke nyumbani kwenyewe: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chrisy Chris (Official Page) (@curvycurlychrisy) • Instagram photos and videos
Tuko pamojaVery true, Chief.
Ndiyo, walioimba NZELAHii ndio ile ya banana?
Dooh!! Basi mimi niliwakutia kwenye Msongo....Formerly iliitwa NUTA jazz band, ikabadilishwa ikawa JUWATA jazz band, OTTU jazz band ndo ikaitwa MSONDO NGOMA..
Kimya sana siku hizi ila bado wanapiga mahotelini...Ndiyo, walioimba NZELA