Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Nyimbo gani kali ya twanga unaikumbuka?Hawa watu nyimbo zao nilikuwa nazipenda sana aisee
Nyimbo gani kali ya twanga unaikumbuka?Hawa watu nyimbo zao nilikuwa nazipenda sana aisee
Hahahahah! Vipi mkuu wataka nae ajaribu ubora?SYB popote ulipo huu ujumbe ukufikie
SikindeMsondo ngoma
Hahah! hapana sio hivyo sema tu hilo dini nae alishawahi kulileta likiwa katika vazi la ufukweniHahahahah! Vipi mkuu wataka nae ajaribu ubora?
1.JiraniNyimbo gani kali ya twanga unaikumbuka?
Tena hizo za kitambo kweli yani [emoji23]1.Jirani
2.Kuolewa majaliwa
[emoji106][emoji106][emoji106]Hahah! hapana sio hivyo sema tu hilo dini nae alishawahi kulileta likiwa katika vazi la ufukweni
Ndio, yaani nilikuwa nazipenda sana aisee,Tena hizo za kitambo kweli yani [emoji23]
Sijui ni nini kimechangia anguko la hizi bandNdio, yaani nilikuwa nazipenda sana aisee,
karudi tena?Babu wa Loliondo
aliwakamata sana...