Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mchele feki, sukari feki, asali ya tabora ina nicotine, samaki wana sumu za mabomu, mafuta ya alizeti yana sumu, maji karibu na migodi yana zebaki, hewa imechafuliwa.....jazieni
na bado tunadai chenji ya makinikia....unga wa ugali tunalishwa pumba hii nchi uchakachuaji hautokwisha na nimewaza huo mchele wa plastic soon utaleta side effect
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…