[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikweli kidogo
Ndioo best wewe umekula?Umekula?
Siamini. Shemeji yule kweli akamatwe na kaandaeitini? Ai donti thinki so [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Inawezekana mkuu ukawa andaeitini? Kama ni hivyo sio mbaya, wenzio akina Yego, Numbisa, uniq, carba, jakitoo na wengine wapo humu usijali. Kwa ufafanuzi OTTU ni kundi la wanamuziki wa kitanzania, walianza na jina laNUTA,wakaja na JUWATA, baadae OTTU wakijulikana saaana kama Msondo ngoma.
Hahah!! Eti under18[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Inawezekana mkuu ukawa andaeitini? Kama ni hivyo sio mbaya, wenzio akina Yego, Numbisa, uniq, carba, jakitoo na wengine wapo humu usijali. Kwa ufafanuzi OTTU ni kundi la wanamuziki wa kitanzania, walianza na jina laNUTA,wakaja na JUWATA, baadae OTTU wakijulikana saaana kama Msondo ngoma.
Shemeji anapitaga huku ohooo !Sijamuona mkuu ukifika unitonye bhna....
Ila huyo mrembo naamini niliumbiwa mimi kabisa sijui nini tu kimetokea hapo kati kati