Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siamini. Shemeji yule kweli akamatwe na kaandaeitini? Ai donti thinki so [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siamini. Shemeji yule kweli akamatwe na kaandaeitini? Ai donti thinki so [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Matatizo kumpenda anayependwa na wengi, huenda ukanywa sumu au ukajinyonga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio kingwendu rafiki ni vile TX aliimba ile vers yake huwa inateka hisia zangu
Hahah!! Kwakweli atanisamehe tu [emoji23]Shemeji anapitaga huku ohooo !
Shauri yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 769180
Hakuna kitu Davet[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Cha kukuchekesha?
Asantee ink[emoji4]Karibu tupike chakula cha usiku.... ( wali na maini roast ) [emoji23] [emoji95] [emoji379]
Umeshiba nini? [emoji23]Bado best nimeshiba leo
Aisee unapeleka hisia zangu mbali sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Matatizo kumpenda anaependwa na wengi, huwenda ukanywa sumu au ukajinyonga
Kwa kuwa Davet bado ni kijana mamaaa kubembeleza mamaaa ni kawaida yangu eeeeh[emoji445][emoji443][emoji445][emoji444][emoji444]
Verse yenyewe si ndio hiyo eeh.
Hiyo hiyo aisee yani daah!!!Matatizo kumpenda anayependwa na wengi, huenda ukanywa sumu au ukajinyonga
Kwa kuwa DAVET bado ni kijana mamaaa kubembeleza mamaaa ni kawaida yangu eeeeh!
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16], ndo verse yenyewe hiyo eeh?