goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,156
ila maini natia mipilipili kibaooo akija mgeni tunamwambia karibu ila hapendi pilipili anaishia kusema asnte nimeshiba kumbe ana njaa....Asantee ink[emoji4]
Kuna wengine kavu wanakula hivyo hivyo.... [emoji23] [emoji23]